Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto)
akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha
Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye
ameanzisha ufugaji baada kupata mafunzo kutoka asasi isiyo ya
kiserikali ya Ace Africa iliyopewa fedha kiasi cha dola za Marekani
64,000.
Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia(TBL)Kanda ya kaskazini,Wilderson Kitio(kulia)akizungumza na maafisa wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa wakati wa ziara ya kutembelea miradi iliyofadhiliwa na TBL kupitia asasi hiyo mkoani Arusha hivi karibuni
Afisa Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kulia) akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Naserian Mayase wakati wa ukaguzi wa miradi ilifadhiliwa na TBL kupitia taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa.Picha na Mpigapicha Wetu
Afisa Miradi wa asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa,Baraka Mshana(katikati) akiwapa maelezo ya umuhimu wa matumizi ya majiko banifu kwaajili ya kulinda mazingira,Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia Kanda ya Kaskazini,Wilderson Kitio(kushoto)na Afisa Uhusiano wa TBL,Doris Malulu .

No comments:
Post a Comment