Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, March 10, 2014

BONDIA AFRIKA MATUMLA ADUNDWA NA KUKIMBIA URINGONI


BONDIA  Afrika Matumla kushoto akioneshana umwamba na John Agustino wakati wa mpambano wao jana Agostino alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya Matumla kupigwa na kuanguka chini na baada ya kusimama alikimbia uringoni Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Refarii Said Chaku akimwesabia bondia Afrika Matumla baada ya kwenda chini kwa kupigwa na John Agustino jana Matumla alipigwa kwa K,O na kwa kukimbia uringoni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Julias Kisarawe kushoto akipambana na Dei Michael wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa kutoka sare

Bondia Alex Philipo kushoto akioneshana umwamba na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Abdallah alishinda kwa K,O ya raundi ya pili picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Chaurembo Palasa kushoto akipambana na Daudi Muhunzi wakati wa mpambano wao uliofanyika kinondoni Dar es salaam Muhunzi alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Chaurembo Palasa kushoto akipambana na Daudi Muhunzi wakati wa mpambano wao uliofanyika kinondoni Dar es salaam Muhunzi alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...