Mar 11, 2014
Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani
Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la
Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo
hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa
iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi
CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo
utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za
zitaongozwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Taarifa
hiyo imeongeza kuwa baada ya mchakamchaka mkali, kampeni za CCM
zitafungwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk.
Ali Mohamed Shein.
Ifuatayo chini ni Taarifa Rasmi ya CCM
No comments:
Post a Comment