Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 8, 2014

KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LTD. KONYAGI WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. | Konyagi wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa march 8 kila mwaka


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiwa katika maandamano yaliyoanzia ofisini kwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyoadhimishwa march 8 kila mwaka


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. |Konyagi wakiwa katika maandamano wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani iliyoadhimishwa march 8 kila mwaka na kuishia katika viwanja vya mwembeyanga Dar es salaam


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiungana na wanawake wenzao kutokasehemu mbalimbali kuadhimisha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika viwanja vya mwembeyanga Dar es salaam


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd. | Konyagi wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake wenzao katika viwanja vya mwembe yanga Dar es salaam  wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa March 8 kila mwaka


Baadhi ya wanawake wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Distilleries Ltd.  Konyagi wakiangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wanawake wenzao katika viwanja vya mwembe yanga Dar es salaam  wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa March 8 kila mwaka


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...