Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, March 7, 2014

DK NAJIM MSENGA AIPIGA TAFU VIJANA JAZZMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, wilayani Lushoto, Dk. Najim Msenga (mwenye suti ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa bendi ya Vijana Jazz baada ya kujitangaza kuwa mlezi wao wakati wa hafla ya kukabidhi kadi kwa wanachama wapya wa CCM, iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hi kwenye ukumbi wa Vijana, Kinondoni, Dar es Salaam. Dk Najim aliizawadia Vijana Jazz sh. milioni moja na kujitolea kuwa mlezi wake. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...