.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Bwawa la Maji la Mkata wiklayni Handeni leo
Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi . |
-Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Msomela wakatia a lipokwenda kukabidhi madume bora ya ng’ombe kwa wafugaji leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na
kasha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji katika kijiji cha Msomela wilayni
Handeni leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji mwenye asili ya
kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la ng’ombe katika
kijiji cha Msomela wilayani handeni leo
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wiklayni Handeni leo
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi
baada ya kulizindua huko Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga leo
asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na
kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment