Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, March 8, 2014

Ngoma mpya inayoenda kwa jina la BASI NENDA

Ngoma mpya inayoenda kwa jina la BASI NENDA toka kwa msanii Mo-Music imesambazwa na
imeanza kuwa gumzo katika vituo mbali mbali vya radio, Mo-Music ni kijana mwanachuo katika Chuo kikuu cha St Agustine (Nyegezi) pale jijini Mwanza. Nyimbo hiyo imefanyika katika studio za K records chini ya mtayarishaji Lolly Pop
  artist-Mo-Music
track-Basi nenda
  producer-Lolly Pop

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...