Waziri
wa maji Jumanne Maghembe akipata maelezo kutoka kwa mtalamu kutoka
nnchini Australia Eng Johann Fabach kuhusu bomba lililo tengenezwa kwa
teknolojia ya kisasa nchini Australia ambalo haliharibiki kwa urahisi
wala kupata kutu kulia ni mkurugenzi msaidizi wa kutoka Prima Business
ya nchini Australia Bibi Annastella Baradyana maonyeshohayo yanafanyika
katika uwanja wa Jamuhuri Mjini Dodoma.
Ofisa
Habari wa Dawasa Neli Msuya akitoa maelezo kwa waziri wa Maji Jumanne
Maghembe kuhusu shughuli zinazo fanywa na Dawasa mjini . Picha na chris
Mfinanga
No comments:
Post a Comment