Marquee
tangazo
Thursday, January 29, 2015
BONDIA KING CLASS MAWE AJIFUA ZAIDI KUMKABILI COSMAS
Kelvin Majiba kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' jinsi ya kupiga up cat |
Kelvin Majiba kuulia akimwelekeza bondia Ibrahimu Class ' King Class Mawe' jinsi ya kupiga up cat
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa
m,asumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi kali za kidevu
wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya Uhuru wasichana kwa
Super D Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa m,asumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class
Mawe' jinsi ya kupiga ngumi kali za kidevu wakati wa mazoezi yao
yanayoendelea katika GYM ya Uhuru wasichana kwa Super D Picha na SUPER D BOXING NEWSKocha wa Kimataifa wa mchezo wa m,asumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi kali za kidevu wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya Uhuru wasichana kwa Super D Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa m,asumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi kali za kidevu wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika GYM ya Uhuru wasichana kwa Super D Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila Super D' kulia akiwa na mabondia Omari Bai kushoto Kelvin Majiba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' |
MABONDIA WAPIMA UZITO KUINGIA URINGONI KESHO IJUMAA 30 JANUARY
Mabondia Julius Kisarawe kushoto akitunishiana msuli na Abdallah Mkumba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho ijumaa january 30 katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Julius Kisarawe kushoto akitunishiana msuli na Abdallah Mkumba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho ijumaa january 30 katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Abdallah Mkumba akisaini baada ya kupimwa Afya |
Mabondia wakisubili kupima Afya |
Mabondia SAID MAGIMBA KUSHOTO
AKITUNISHIANA MSULI NA AZIZI ABDALLAH BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA
MPAMBANO WAO UTAKAOFANYIKA KESHO IJUMAA KATIKA UKUMBI WA MANYARA PARK
TANDALE CCM PICHA NA SUPER D BOXING NEWS
Mabondia SAID MAGIMBA KUSHOTO AKITUNISHIANA MSULI
NA AZIZI ABDALLAH BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO
UTAKAOFANYIKA KESHO IJUMAA KATIKA UKUMBI WA MANYARA PARK TANDALE CCM
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Julius Kisarawe kushoto akitunishiana msuli na
Abdallah Mkumba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo
ijumaa january 30 katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS
Tuesday, January 27, 2015
Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.
Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam |
Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam |
Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India. |
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya
Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco
Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika
ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village
walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia
kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village
na pia kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com
KING CLASS TEAM YAENDELEA KUJITANGAZA KWA AJILI YA MPAMBANO WA FEB 28
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI |
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI |
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' |
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI |
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI |
KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI KUTOKA KUSHOTO NI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA BILALI NGONYANI BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKIMUONESHA KWENYE FLANA HASIMU WAKE COSMAS CHEKA KUWA ATAMFANYIA KITU MBAYA SIKU YA MPAMBANO WAO WA FEB 28 KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA
Dege Eco Village yadhamini miaka 66 ya Uhuru ya India.
Mkurugenzi wa Dege Eco Village akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam |
Afisa Mauzo, Catherine Mhina akihojiwa na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam |
Wageni walikwa kutoka kwenye jamii ya kihindi jijini Dar es Salaam wakisherekea madhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India. |
Dar es Salaam, tarehe 25 Januari 2015 - Kampuni ya
Hifadhi Builders iliyokuwa na mradi mkubwa nchini inayoitwa Dege Eco
Village wamedhamini madhimisho ya miaka 66 uhuru wa India niliyofanyika
ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Dege Eco Village
walilenga kuungana na balozi wa India kusherekea miaka 66 ya Uhuru pia
kuwapa waTanzania nafasi maalum yakuulizia mradi huu wa Dege Eco Village
na pia kuweza kukutana na wa Menejea Mauzo wa mradi huo.
Kwa mawasiliano zaidi tembelea tovuti ya www.degeecovillage.com
MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI WA MUFINDI KASKAZINI
WILLIAM
MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi
akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI
makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.
WILLIAM
MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi
akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia
kugombea ubunge kupitia chadema.
*******************************************
Wananchi
wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa maisha
wanaokumbana nao kila kukicha licha ya wilaya hiyo kuwa na utajiri mkubwa wa
rasilimali ya misitu pamoja na mazao ya biashara
Akizungumza
katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema
Taifa wilayani mufind Williamu Mungai mmoja wa wananchi hao Clement Mwachanga
alisema kuwa wilaya hiyo ni moja kati ya wilaya inayofanya vema kwa kuingiza
pato kubwa la taifa lakini wananchi wake wako katika wimbi kubwa la umaskini
Mwachanga
amesema anashangaa wilaya kama ya mufindi inayoongoza kwa utoaji wa mbao nyingi
lakini cha kushangaza shule nyingi za msingi hazina madawati jambo
linalopelekea wanafunzi wengi kukaa chinii
‘’Hii
ni aibu kubwa sana kwa wilaya yetu haiwezekani wilaya inarasilimali za kutosha
lakini wananchi wake wengine wanashidwa hata kupata mlo mmoja kwa siku huku
watoto wao wakishidwa kupelekwa shule kutokana na kushidwa kulipa ada ya
kumuandikishia mtoto ”
Kwa
upande wake Williamu Mungai ambaye hivi karibuni ametangaza nia ya kulichukua
jimbo hilo la mufindi kaskazi ambalo kwa sasa linaongozwa na naibu waziri wa
maliasili na utalii Mahamudu Mgimwa amewataka wenyeviti wa mitaa kuhakikisha
watoto wote wanaandikishwa shule za msinga hata kama hawana ada ya
kuandikishiwa kwa kuwa elimu ni haki ya kila Mtanzania
Mungai
alisema ni kila mtoto ana haki ya kupata elimu ya msingi kwa kuwa ndivyo katiba
inavyosema na kuwataka walimu kuacha mara moja tabia ya kuwarudisha
majumba watoto kwa kisingizio cha kukosa hela ya kuwaandikishia
"Niwatake
wenyeviti wangu wa mitaa muhakikishe watoto wote wanaandikiswa na kama
kuna mwalimu atagona kumuandikisha kwa kisingizio eti hana shilingi eflu
hamsini jikusanyeni pamoja niiteni na mimi twende wote tuone kama hata
muandikisha kwa maana walishasema elimu bure sasa bure waliyosema ikuwapi"
alisema Mungai
Hata
hivyo mungai alisema imefika wakati wakuikomboa mufindi iliyoko katika wimbi la
umaskini kwa kutumia rasilimali zilizopo na kuataka wanamufindi
kuhakikisha wanachagua viongozi wenye maono ya mbali katika kuwalete
maendeleo na sio porojo za kila siku.
Mungai
alisema kuwa atahakikisha anazunguka vijiji vyote 72 vya wilaya ya
mufindi katika harakati zake za kujenga chama na kuweza kutambua kero za
wananchi na kuangalia ni jinsi gani ya kuzitatua.
NDASSA, BWANAUSI
WATEULIWA KUONGOZA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI
Mwenyekiti Mteule wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Richard
Ndassa (Mb) akiwashukuru wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuchaguliwa
kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo baada ya Mwenyekiti wa awali Mhe. Victor
Mwambalaswa kujiuzulu kufuatia maazimio ya Bunge kuhusu sakata la
Account ya Tegeta ya Escrow. Mhe. Ndasa alimshinda mpinzani wake Mhe.
Jerome Bwanausi (Mb) katika uchaguzi huo.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Jerome
Bwanausi akitoa neno la shukrani mbele ya wajumbe wa kamati hiyo baada
ya kuchaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Picha na Owen Mwandumbya
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Monday, January 26, 2015
WASANII KIBAO WATUMBUIZA TIGO MUSIC!
Khadija Omari Kopa akiwa na wacheza Show wake kwenye tamasha la Tigo Music, lilifanyika usiku wa Jumamosi ya Jan 24 mwaka huu. |
Mze Bichuka wa Sikinde nae alibichuka vilivyo! |
Juma Katundu wa Msondo Ngoma nae akateremsha Msondo wa NGUVU. |
Wakirithi mikoba ya Kina Mze Gurumo na TX Moshi William! |
Romario na Totoo ya Moshi, TX JR (kulia). |
Mashabiki nao hawakua nyuma ya Pazia, walikaa mbele ya Pazia! |
Nivue ni sivue! vuaaaaaaa! Aaaaaaa nivuee eeeee! |
Waowwwwwwwwww! |
Ebanaeeeeeeee! simchezooo! |
Subscribe to:
Posts (Atom)