Baadhi
ya washiriki wa mbio za Baiskeli Kanda ya Ziwa (Safari Bike Race) 2013,
Wanaume wakichuana kuelekea Nzina (Igunga) km 210 kutoka Shinyanga na
kurudi wakati wa sherehe za sikuu ya nane nane ambazo hufanyika kila
mwaka kwa kanda hiyo.
Mwakilishi
wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Kaimu katibu tawala Rasilimali na Watu wa
Shinyanga, Projestas Lubanzibwa(kushoto) akimkabidhi bingwa wa Mbio za
Baskeli Kanda ya Ziwa (Safari Bike Race) 2013, Masunga Duba kutoka
Mwanza, kitita cha shilingi milioni moja (1000000/=) zilizofanyika
Mkoani Shinyanga wakati wa sherehe za siku kuu ya nanene ambazo
hufanyika kila mwaka.
Bingwa
wa Mbio za Baskeli Kanda ya Ziwa (Safari Bike Race) 2013, Masunga Duba
kutoka Mwanza(kulia) akionyesha kitita cha shilingi milioni moja
(1000000/=) mara baada ya kukabidhiwa na mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa
Kaimu katibu tawala Rasilimali na Watu wa Shinyanga, Projestas
Lubanzibwa zilizofanyika Mkoani Shinyanga wakati wa sherehe za siku kuu
ya nanene ambazo hufanyika kila mwaka.
Baadhi
ya wakazi wa Mkoa wa Shinyanga wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mpira
wa Miguu wa Kambarage Mkoani Shinyanga kushuhudia mbio za Baiskeli kwa
kanda ya Ziwa zinazojulikana kwa “Safari Bike Race” wakati wa
kusherehekea sikuu ya nane nane ambazo hufanyika kila mwaka kwa kanda
hiyo.
Msanii
wa kutoka kampuni ya Integrated Comminications,Jembe Ulaya akitumbuiza
mara baada ya mashindano ya Mbio za baiskeli Kanda ya Ziwa(Saafari Bike
Race) wakati wa kusherehekea sikuu ya nane nane ambazo hufanyika kila
mwaka kwa kanda hiyo.
No comments:
Post a Comment