Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 27, 2013

KAMPUNI YA CLORIDE EXIDE CHASAIDIA KITENGO CHA EMER GENCY MUHIMBILI

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Dharurua  'Emer Gency Medicine Profesa, Victor Mwifongo kwa ajili ya magari ya kitengo hicho Dar es salaam leo kushoto ni Kaimu Dereva Mkuu Sultan Kitanga na Mkuu wa Idara ya Ufundi ENG,Leonard Elizeus Picha na Mpiga Picha wetu
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kushoto na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopereka mhuimbili
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kulia na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakishusha betri walizopereka mhuimbili
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo kushoto na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakiwa katika picha ya pamoja baadhi ya maofisa wa kitengo hicho

Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emer gency Medicini Bw. Kafuru Rashidi akikagua betri hizo baada ya kukabidhiwa
Baadhi ya Madereva wa kitengo hicho wakikagua

Baadhi ya waudumu wakiendelea na shughuli zao katika gari la wagojwa kushopto ni Nikijaeli Ngareni na Josephine Lazaro

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Dharurua  'Emer Gency Medicine Profesa, Victor Mwifongo kushoto akibadilishana namba za mawasiliano na
Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Choloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo
Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza 


Na Mwandishi Wetu

MRATIBU wa Masoko wa Kampuni ya Chloride Exide Bw, Robert Hiza leo ametoa msaada wa Betri mbili katika kitengo cha Emer Gency Medicine ya hospitali ta Taifa Muhimbili

Msaada huo wa kwanza kutoa inaendana na miaka 50 ya kampuni hiyo ambapo watatoa viti mbalimbali katika hospital za Selekari vikiwemo Sora kwa ajili ya umeme wa jua
Akipokea msaada huo 
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Dharurua  'Emer Gency Medicine Profesa, Victor Mwifongo amewashukuru kampuni ya Chloride Exide kwa kuliona hilo kwani ni mara ya kwanza katika kitengo chao kupokea msaada kama huo

na kuwaomba wadau wengine kujitokeza kusaidia vitu mbalimbali ikiwemo ata magari kama yapo tunaomba msaada mana hapa kiterngo chetu ni cha mambo ya dharura na kinategemewa sana kama mnavyojua

Nae
Mkuu wa Madereva wa Kitengo cha Emer gency Medicini Bw. Kafuru Rashidi amenderea kutoa shukrani kwa kampuni hiyo kwa kuliona hilo kwani yeye kama Dereva ameona ni jambo bora sana

 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...