Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), David Mgwassa (kushoto), akieleza mafanikio ya TDL ikiwa ni
pamoja jinsi inavyolipa kodi serikalini ambapo kwa mwezi hulipa sh. bil.
7. Mgwassa alikuwa akizelezea mafanikio hayo wakati wa semina ya
wahariri wa vyombo vya habari ya kuwajengea uwezo wa kuthamini bidhaa za
ndani leo kwenye Hoteli ya New Africa, Dar es Salaam.Kulia ni mgeni
rasmi katika semina hiyo, Mbunge wa Wilaya ya Ilala ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu.
Mgeni
rasmi katika semina hiyo, Mbunge wa Jimbo la Ilala ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu, akitoa pongezi kwa Mkurugenzi wa TDL,
David Mgwassa kwa kukipatia mafanikio makubwa kiwanda hicho. KUSOMA
ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
Mkurugenzi wa Masoko wa TDL, Joseph Chibehe 9kulia) akielezea mbele ya wahariri, historia ya kinywaji cha Konyagi.
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL.
Seheumu ya wahariri wa vyombo vya habari waliohudhuria semina hiyo
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL.
Picha juu na chini ni baadhi ya wahariri na wanahabari wakiwa katika semina hiyo iliyoandaliwa na TDL.
Mgeni
rasmi, Mussa Zungu 9katikati waliokaa) akiwa na MD wa TDL ,
Mgwassa, Mkurugenzi wa Masoko, Chibehe katika picha ya pamoja na
wahariri wa vyombo vya habari nchini.
MD wa TDL, Mgwassa (katikati) akimuaga Mussa Zungu. Kulia ni Chibehe.
Baadhi
ya wahariri walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini
wakati Chibehe aielezea historia ya TDL. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO
No comments:
Post a Comment