Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 13, 2013

KOZI YA MAKOCHA 32 WA MICHUANO YA COPA COCACOLA YAFUNGILIWA LEO JIJINI DAR


 Mwalimu wa mafunzo ya Ukocha ya 'FIFA Copa Cocacol U 15', Govinder Thondoo, akitoa mafunzo kwa Makocha 32 waliohudhuria mafunzo hayo yaliyofunguliwa leo jijini Dar es Salaam.  
 Baadhi ya Makocha hao wakimsikiliza mwalimu wao wakati akiendelea kutoa somo kuhusu ukocha wa michuano ya Coca Cola U 15, inayotarajia kuanza mwezi ujao.
 Makocha hao na walimu wao wakiwa katika picha ya pamoja.
Sunday Kayuni, akihojiwa na wanahabari baada ya ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo leo. Picha Zote na Miraji Msala wa Sufianimafoto

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...