Mkuu wa Idara ya
Mauzo na usambazaji wa Vodacom Tanzania Bi.Upendo Richard akikata utepe wakati wa uzinduzi wa
duka jipya la Vodacom lililoko kigogo Dar es Salaam,duka hilo linafikisha idadi ya maduka 68 yanayotoa huduma kwa
wateja nchini. Pamoja nae katika picha ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Bw.Matina
Nkurlu(kulia) na kushoto ni Meneja wa Duka hilo Salum Chilala.
Mkuu wa Idara ya
Mauzo na usambazaji wa Vodacom Tanzania Bi. Upendo Richard(katikati)
akimkabidhi funguo Meneja wa duka jipya la Vodacom lililopo Kigogo Dar
es Salaam Salum Chilala, mara baada ya uzinduzi rasmi wa duka hilo
linalofikisha
idadi ya maduka 68 yanayotoa huduma kwa wateja nchini.Anaeshuhudia kulia
ni Meneja
Uhusiano wa kampuni hiyo,Bw. Matina Nkurlu
Meneja wa duka
jipya la Vodacom lililoko kigogo jijini Dar es Salaam Bw. Salum Chilala.
Akifungua mlango kuashiria kuanza kwa huduma katika duka hilo mara baada ya kunduziliwa
na Mkuu wa Idara ya Mauzo na usambazaji
wa Vodacom Tanzania Bi. Upendo Richard(katikati) Meneja Uhusiano wa kampuni
hiyo,Bw. Matina Nkurlu.
Mfanyakazi wa duka jipya la Vodacom lililoko kigogo
jijini Dar es Salaam, Meshack Mgana akiuunganishia intaneti kwa moja ya wateja waliojitokeza kupata huduma
katika duka hilo, Bw. William Mwakalwasya
Duka hilo linafikisha idadi ya
maduka 68 yanayotoa huduma kwa wateja nchini.
No comments:
Post a Comment