Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 12, 2013

SIMBA YAMALIZIA HASIRA ZAKE KWA SPORTS CLUB VILLA YA UGANDA, YABANJUA 4-1


Kiungo wa Simba, Amri Kihemba (kulia) akimtoka beki wa Sports Club Villa ya Uganda wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana jioni katka Ta,asha la Simba Day. Katika mchezo huo Simba ilishinda mabao 4-1. 
Kipa wa Sports Club Villa ya Uganda, Elungat Martins, akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni kwake, mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki, aliyeifungia timu yake bao la tatu katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Mashabiki wa Simba wakishangilia ushndi.
Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Tunda Man, akishambulia kutoa burudani wakat wa Tamasha hili kweny Uwanja wa Taifa jana. Pcha zote na Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...