Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 24, 2013

MSONDO NGOMA YATUMBUIZA KWA MARA YA KWANZA BILA GURUMO BAADA YA KUSTAAFU MUZIKI

Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede.Picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu.Picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...