Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 27, 2013

KOCHA SUPER D ,YASSIN ABDALA WAMPOKEA FRANCOIS BOTHA LEO PAMOJA NA RAIS WA WBF


Mgeni rasmi katika pambano la Kimataifa wa Ubingwa wa WBF, Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' (wa pili kushoto) baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaas, kwa ajili ya kushuhudia pambano hilo siku ya ijumaa.  Kushoto ni Rais wa TPBO Yassini Abdalla na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg pamoja na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  Mpambano wa ubingwa wa Dunia wa chama hicho unafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuwakutanisha Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Bondia huyo, Faru Mweupe anatarajia kupanda ulingoni kuzipiga na Evander mwezi wa nne mwakani. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com 

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila wa pili kutoka kulia akifuraia jambo na Francois Botha pamoja na yassini Abdalla kulia

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwafikisha wageni katika hotel ya Southern sun wa pili ni Rais wa WBF, Howard Goldbeg, Rais wa TPBO, Yassini Abdallah na mmoja wa Majaji wa mpambano huo pamoja na Bondia bingwa wa Uzito wa Juu Duniani Francois Botha Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...