Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 9, 2013

EID-MUBARAK WADAU WOTE WA BLOGMitandao ya 
                    http://superdboxingcoach.blogspot.com/
http://burudan.blogspot.com/
http://www.sdmproductionmedia.blogspot.com/
http://viwanjani.blogspot.com/
                           http://machellah.blogspot.com/
inayo jumuhisha 
Burudan Media
Inawatakia Sikukuu njema ya Eid El Fitri, wadau wote wa mitandao hiyo. Tusherehekee kwa amani na utulivu na kufanya mema yote yaliyoamrishwa na Mwenyezi Mungu na kuendelea kuyakataa yale yote yaliyokatazwa, Inshaallah. Na pia tuuenzi mwezi huu kama mwalimu mzuri kwa kuendelea kutenda mema na kuyaacha yote tuliyoyaacha ndani ya huu mtukufu wa Ramadhan na Leo ni Mwezi Mosi Shawwal 1434, Sikukuu iliyotukuka kwa Waumin wote wa Kiislam. MUNGU ATUJAALIE KUYAACHA MABAYA YOTE TULIYOYAACHA KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN, NA ATUONGOZE KUENDELEA NA MEMA, AMINA INSHAALLAH

Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Business Times
           mhamila1@gmail.com
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...