Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 10, 2013

BENDI YA MSONDO NGOMA ILIVYO PAGAWISHI WAPENZI WAKE SIKUKUU YA IDDI

Waimbaji wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa onesho lao la Iddi lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es salaam kushoto ni Eddo Sanga na Hasani Moshi Picha na www.burudan.blogspot.com
W

Wapuliza hara wa bendi ya msondo ngoma wakitoa burudani wakati wa sikukuu ya idi kushoto ni Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande Picha na SUPER D
Saddy Ally akiwajibika wakati wa Onesho Ilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...