Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 7, 2013

MBIO ZA BAISKELI KURINDIMA KESHO MKOANI SHINYANGAKatibu wa chama cha Baiskeli Kanda ya Ziwa(KAMWASHI), John Elisha akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya Baikeli Kandaya ya Ziwa yanayojulikana kwa “Safari Bike Race” yanayotarajiwa kufanyika kesho Mkoani Shinyanga wakati wa kusherehekea sikukuu ya Nane nane.kutoka kulia ni Mratibu wa mashindano hayo,Peter Zacharia,Meneja matukio Kanda ya Ziwa TBL,Erick Mwayela,Meneja mauzo Syanyanga TBL,Robert Michae na Mwenyekiti wa chama hicho, Elisha Elias.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...