Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 12, 2013

MKURUGENZI WA J-FILM 4 LIFE JENNIFER KYAKA (ODAMA) AFANYA MAHOJIANO NA TBC1 MWISHONI MWA WIKI HII KUHUSIANA NA UJIO WA FILAMU YAKE MPYA YA "WITCH DOCTOR" MWEZI HUU WA NANE


 Mkurugenzi wa J-Film 4 Life akisubiria kuingia katika chumba cha mahojiano na mtangazaji wa TBC 1 radio Jane John wa kipidi cha Asubuhi.
Odama akielekea katika chumba cha mahojiano cha TBC 1 radio
 Mtangazaji wa radio TBC Taifa Jane John akifanya mahojiano na mwigizaji maarufu wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka (Odama) .....!!!!!
Jennifer Kyaka akiwa makini kujibu maswali kutoka kwa Mtangazaji wa radio TBC Taifa Jane John...!!!!
Odama akielezea ujio wa filamu yake mpya na kuelezea wahusika waliocheza katika filamu hiyo ambayo ina ujumbe muhimu kwa jamii....!!!
Jennifer Kyaka wa J-Film 4 Life...!!!
Jane John mtangazaji wa kipindi cha ASUBUHI HII cha TBC Taifa.....!!!!

Baada ya kumaliza mahojiano na TBC Taifa radio, Mkurugenzi wa J-Film 4 Life aliweza kuhojiana na mtangazaji wa kipindi cha JAMBO, Mbozi Katala wa  television ya TBC1 juu ya ujio wa filamu yake ya "WITCH DOCTOR"

ULIFIKA MUDA WA KUPIGA PICHA ZA PAMOJA
Mtangazaji wa television ya TBC1 na Mkurugenzi wa J-Film 4 Life

Mtangazaji wa radio ya Taifa TBC1 na mwigizaji wa filamu Tanzania

Mkurugenzi wa Rumafrica na blogger wa blog ya ODAMA 1 Rulea Sanga akiwa na Mkurugenzi wa J-Film 4 Life Jennifer Kyaka (Odama) katika studio za TBC 1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...