Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 1, 2013

FILAMU ZA MWISHO WA SIKU NA PUMBA ZAINGIA SOKONI KWA KISHINDO


Na Mwandishi Wetu

FILAMU za Mwisho wa Siku na Pumba zimenderea kutamba mtaani kutokana na ubora wake na mafundisho yaliyokuwemo katika filamu hizo ukizungumzia Pumba ambayo muhusika wake mkuu ni Haji Salumu 'Mboto' akishilikiana na wasanii wenzie Zubery Mohame na Aunt Ezekiel

Filamu hiyo inayozungumzia maisha ya wanandoa wawili ambao wanapenana na mmoja wao ambaye ni mwanamke anakuwa na mapenzi ya kirafiki ya kawaida tu na kufanya kuwa karibu na mwanamke huyo ambaye ni mke wa mtu

Ata hivyo mumewake anapokuja kugundua kwamba yupo na mtu mwingine kimapenzi anamua kumtimua na kuenderea kunywa pombe ili apunguze mawazo ya kumuwaza mke wake ata hivyo inakuja kugundulika awana mahusiano yoyote zaii ya urafiki wa kawaida

Katika filamu ya mwisho wa Siku iliyo washilikisha wasanii wakali akiwemo mwana dada maili katika filamu Lucy Komba imenderea kuwa gumzo mtaani kutokana na umairi wake na ubora wake wa ali ya juu

Filamu hizo zinazosambazwa na kampuni ya Steps Entatainmenti ya jijini Dar es salaam zimekuwa na mashabiki wengi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...