Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 9, 2013

GARDEN POOL KLABU MABINGWA SAFARI POOL IRINGA.Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve wa (wa pili kulia) akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Garden, Said amaohamed, mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja mauzo wa Mkoa wa Iringa, Philipo Kabecha na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
 Nahodha Saidi Mohamedi akikabidhiwa Kikombe

Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve(kulia) akimkabidhi kitita cha fedha taslimu shilingi 700,000/= nahodha wa klabu ya Garden , Said Mohamed mara   baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na wachezaji kuhusu bia ya Safari

Wachezaji wa Klabu ya Garden wakishangilia mara baada ya kuibuka mabingwa


Meneja wa Bia ya Safari Lager , Oscar Shelukingo (kulia) akimkabidhi kitita cha fedha taslimu shilingi 350,000/= bingwa wa Singles wanaume , Good Lover Ntalange kutoka klabu ya  Garden  katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Wachezaji wa Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa wa mashindano ya Safari Pool Mkoa wa Iringa.Wachezaji wa Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa  na kikombe mara baada ya kukabidhiwa wakati wa fainali za  mashindano ya Safari Pool Mkoa wa Iringa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...