Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 9, 2013

WANDISHI WANHABARI WATEMBELEA BUNGE MJINIDODOMA

MWANDISHI WA HABARI WA MAGAZETI YA THE GUARDIAN DAVID MTEI AKIFUATILIA HABARI KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA TANZANIA NA KUWAPASHA WATANZANIA
 
WANDISHI WA HABARI  KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI HAPA NCHINI KUTOKA DAR ES SALAAM  WAKIWA KATIKA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA KUANGALIA SHUGHULI ZA BUNGE 

WANDISHI WA HABARI  KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI HAPA NCHINI KUTOKA DAR ES SALAAM  WAKIWA KATIKA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA KUANGALIA SHUGHULI ZA BUNGE  

BINGWA WA DUNIA KATIKA MCHEZO WA NGUMI KATIKA UZITO SUPER MIDDLE  FRANCIS CHEKA AKIWA BONDIA MIYEYUSHO PAMOJA NA VIONGOZI WAO WAKIWA KATIKIA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

ABINGWA WA DUNIA WA WBF WA UZITO WA SUPER MIDDLE ,FRANCIS CHEKA AKIWA KATIKA UKUMBI WA BUNGE AKIONYESHA MKANDA WAKE WA UBINGWA ALIOUPATA BAADA YA KUMMPA KICHAPO MMAREKANI,PHILL THE DRILL WILLIAMSMWISHONIMWA WIKI

WANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI KUTOKA DAR ES SALAAM WAKIWA NJE YA UKUMBU WA BUNGE  MJINI DODOMA KUHUDHURIA  NA KUANGALIA SHUGHULI ZA BUNGE

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA KUSHOTO CAREEN CYPRIAN  WA NIPASHE  BEATRIC SHAYO WA NIPASHE NA LYATU WA HABARI LEO  WAKIWA NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA KUSHOTO CAREEN CYPRIAN  WA NIPASHE  BEATRIC SHAYO WA NIPASHE NA LYATU WA HABARI LEO  WAKIWA NJE YA UKUMBI WA BUNGE MJINI DODOMA 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...