Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 9, 2016

BONDIA ID MKWELA AMSAMBALATISHA NASSORO MADIMBA KWA K,O YA RAUNDI YA PILI BAGAMOYO MKOA WA PWANI NAKULETA SHANGWE KWA KOCHA WAKE SUPER DBondia Idd Mkwela kushoto akipambana na Nassoro Madimba wakatiwa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,O ya raundi ya pili ya mpambano uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS

Refarii Said Chaku akimwesabia bondia Nassoro Madimba baada ya kupokea konde kutoka kwa Idd Mkwela na kwenda chini na ndio ikawa mwisho wa mchezo uho Pichas na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kulia akimshambulia bondia Nassoro Madimba wakati wa mpambano wao uliofanyika bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya pili Pichas na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Nassoro Madimba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mkoa wa pwani Mkwela alishinda kwa K,o ya raundi ya pili Pichas na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA IDD MKWELA BAADA YA KUSHINDA MPAMBANO WAKE

MASHABIKI WA IDD MKWELA WAKIMPONGEZA
BONDIA IDD MKWELA AKIWA AMEBEBWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUSHINDA KWA K,O
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KUSHOTO AKIWA NA MABONDIA WAKE BAGAMOYO KATIKA MOJA YA KAZI ZAKE KATIKATI NI IDD MKWELA NA VICENT MBILINYI         

SUPER D SUPER COACH AKIWA NA TEAM YAKE
IDD MKWELA KUSHOTO AKIWA NA RAJABU MHAMILA SUPER D SUPER COACH

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...