Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 7, 2016

WAZIRI MKUU AONGOZA SWALA YA EID EL FITR JIJINI DAR


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum alipowasili katika Swala ya Eid el Fitr iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum akitoa hotuba yake wakati wa Swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. 
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry akitoa mawaidha wakati wa swala ya Eid El Fitr.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotoba yake wakati wa Swala ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotoba yake wakati wa Swala ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika Swala ya Eid El Fitr.
Kijana wa Kiislamu akikusanya sadaka wakati wa swala ya Eid.
Waumini wakiwa katika swala.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati), akiongoza swala ya Eid El Fitr.
Waumini wakiswali swala ya Eid.
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum wakati wa Swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...