Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 20, 2016

IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBARATISHA HUSSEIN GOBOSI

Bondia Hssein Gobos kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Travertain Magomeni mapipa Mkwela alishinda kwa point mpambano uho uliokuwa wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO BAADA YA KUMALIZIKA KWA RAUNDI SITA
MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO
Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Sakwe Mtlya akimnyosha mkono juu bondia Idd Mkwela baada ya kumshinda Hussein Gobos kwa point wa tatu kushoo ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akifurahiya ushindi uho pamoja na vijana wake wengine Picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...