bondia huyo aliecheza won 18 (KO 18) + lost 1 (KO 1) + drawn 0 = 19 na kushinda kwa K,O yote ambapo amepigwa mpambano mmoja tu bondia huyo ambaye ni Germany anaetamba kwa kwapiga watu mnamo raundi za awali tu Cheka amefanya kuwa mtu wa 18 wa kupigwa kwa K,O na bondia huyo
Francis Cheka anaetarajia kuzidunda na Thomas Mashali Mei Mosi mwaka huu katika ukumbi wa PTA sabasaba ameweka doa rekodi yake kwa kupigwa na anatazamiwa kupandisha upya rekodi yake kwa kumpiga bingwa wa Afrika Mashariki Thomas Mashali ili kudhilisha kwamba yeye bado mbabe kwa upande wa Tanzania Cheka mpaka sasa ana rekondi ya won 27 (KO 15) + lost 7 (KO 4) + drawn 1 = 35
Mpambano huo wa Germany aliocheza Cheka ni mpambano ambao yeye alikwenda kuziba pengo la bondia ambaye alikuwa amepata matatizo katika mazoezi na kulazimika kuziba nafasi hiyo ili mpambano ufanyike mei mosi
Cheka atatetea mkanda wake wa IBF Continental Africa super middleweight title katika mpambano wa raundi 12
No comments:
Post a Comment