Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, March 19, 2013

MANJI AZINDUA BARAZA LA WADHAMINI YANGA, BALOZI MPUNGWE, MH MKUCHIKA NDANI


Mwenyekiti wa Yanga SC, ALhaj Yussuf Mehboob Manji akimkabidhi Katiba ya Yanga, Mjumbe wa Baraza jipya la Wadhamini la klabu hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mh. George Huruma Mkuchika (kushoto) jioni ya leo, makao makuu ya klabu hiyo, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

Manji kushoto akimkabidhi Katiba ya Yanga, Mjumbe mwingine, Balozi Ammy Mpungwe

Manji akimkabidhi Katiba, Mjumbe mwingine, Francis Mponjoli Kifukwe kulia

Manji kushoto akimuonyesha Mh. Mkuchika mali za klabu zilizopo makao makuu ya klabu

Mkuchika pembeni ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga akishika moja ya mashine za gym za klabu hiyo

Balozi Mpungwe akifanya mazoezi kwenye moja ya mashine za gym za klabu hiyo

Francis Kifukwe kulia akiwaonyesha ukubwa wa eneo la Yanga maeneo ya Jangwani, Mh Mkuchika na Balozi Mpungwe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...