Changamoto ya
uokoaji ni ngumu, lakini vikosi mbalimbali vinaendelea na zoezi hilo,
ili kunusuru maisha ya waliofukiwa na kifusi.
Hizi nia aina
ya nondo ambazo kimsingi sio imara kuweza kuhimili ujenzi wa ghorofa
ndefu kama hili, kuna haja mamlaka husika likatupia macho kampuni za
ujenzi ili kuokoa maisha ya wajenzi na watumiaji wa majengo hayo.
Askari wakiimarisha ulinzi wakati zoezi la uokoaji likiendelea.
Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea, huku nondo nyembamba zikionekana na kuacha maswali miongoni mwa mashuhuda wa tukio hilo.
Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea.
Jitihada za kuwaokoa watu zikiendelea.
Waokoaji.
Waziri wa
Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akipata maelezo kutoka
kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (CP), Suleima Kova
kuhusu jengo la ghorofa 16 lililoanguka majira ya saa mbili asubuhi
katika makutano ya mtaa wa Indira Ghandi na Barabara ya Morogoro jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha
Minangi. Katika ajali hiyo watu wawili wamekufa papo hapo. (Picha zote
na Habari Mseto Blog)
Waokoaji wakiwa kazini.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum (CP), Suleima Kova.
Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum (CP), Suleima Kova akiwa katika eneo la tukio.
Kulia ni Mbunge wa viti maalum (NCCR-Mageuzi James Mbatia.
Dah Kiukweli hawa wakandarasi na Matajiri wanaojidai kujenga nyumba na kutafuta wakandarasi wabovu ambao wameweka maslahi yao mbele ni lazima wachukuliwe hatua la siivyo tutakufa wengi
ReplyDeletesupreme hoodie
ReplyDeleterussell westbrook shoes
kyrie 5
off white jordan 1
nike shoes
goyard bags
supreme
nike air max
outlet golden goose
curry 7 shoes