IDDY MKWELA |
akizungumza na mwandishi wa habari
hizi mratibu wa mpambano huo wa raundi 6 kg,60 bondia wa siku nyingi
ambae kwa sasa ni kocha wa mchezo huo Muheza, Chalres Muhilu ' Spins'
alisema mpambano huo wa wazi umeandaliwa kwa ajili ya kutoa burudani
wilayani hapo na kuhamasisha mchezo wa masumbwi
ambapo kutakuwa na mapambano mengi ya
mchezo huo yatakayoanza saa kumi jioni ikiwa kiingilio ni miguu yako tu
amewataka wapenzi wa mchezo huo kujitokeza kuangalia mabondia kutoka Dar
wakipambana na Muheza pamoja na kutoa rai kujitokeza kwa wafadhili
kudhamini mchezo huo unaopendwa na vijana wengi wilayani humo ndio mana
tumeamua kuweka katika viwanja vya wazi ili watu wote wajionee wenyewe
mchezo wa ngumi unavyo endeshwa katika mazingira magumu
Nae Kocha wa kimataifa wa mchezo huo
Rajabu Mhamila 'Super D' aliyepewa jukumu la kwenda na vijana kutoka Dar
ili wakalete changamoto na kuleta amasa ya mchezo huo amesema atakwenda
na Nassoro Mbwiga atakayemenyana na Bakari Sendekwa katika uzito wa
kilo 52 na Iddy Mkwela atakaepambana na Lucas Ndula mpambano wa raundi 6
No comments:
Post a Comment