Wafuasi
wa Sheikh Ponda, walioandamana kwenda kwenye Ofisi za Mkurugenzi wa
mashitaka (DPPO) kwa ajili ya kushinikiza Ponda apewe dhamana wakiwa
kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao wapatao 52, leo wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu
jela kila mmoja.
No comments:
Post a Comment