Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akiangalia utengenezaji wa barabara inayojengwa kwa
Kutumia
Saruji, Mchanga na Kifusi,ili kuzuiya uhifadhi wa mazingira ya misitu,
katika msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba,alipofanya ziara jana
kuangalia maendeleo ya jamii.
|
No comments:
Post a Comment