Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Mkurugenzi wa Sayansi ya Uhai, Dkt. Flora Tibazarwa,
wakati Makamu alipofanya ziara ya kutembelea katika maonyesho ya Tume ya
Sayansi na Teknolojia (Costech) Kijitonyama leo kujionea maendeleo ya
tume hiyo inayozalisha vijana wabunifu wa masuala ya kisayansi. Kushoto
kwa Makamu wa Rais ni, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia moja ya chupa ya dawa ya kuongeza virutubisho mwilini, Juice
Lishe,(Morizella Juice) huku akimsikiliza Dkt. Modest Kapingu, kuhusu
matumizi ya dawa hiyo, wakati Makamu alipofanya ziara ya kutembelea
katika maonyesho ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Kijitonyama
leo kujionea maendeleo ya tume hiyo inayozalisha vijana wabunifu wa
masuala ya kisayansi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Rachel Mbuliza wa Kampuni ya Intern, wakati Makamu
alipofanya ziara ya kutembelea katika maonyesho
ya
Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Kijitonyama leo kujionea
maendeleo ya tume hiyo inayozalisha vijana wabunifu wa masuala ya
kisayansi. Katikati mzungu ni Nicole Stabbs.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Mtafiti wa TEHAMA kutoka COSTECH, Rahma Bashary, wakati
Makamu alipofanya ziara ya kutembelea katika maonyesho ya Tume ya
Sayansi na Teknolojia (Costech) Kijitonyama leo kujionea maendeleo ya
tume hiyo inayozalisha vijana wabunifu wa masuala ya kisayansi. Kulia
ni, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyeshwa namna ya kutumia simu ya mkononi kuunganisha huduma ya
mtumiaji simu ili kupata taarifa ya mkulima kutoka kwa Gwaliwa Mashaka
wa Kampuni ya Spendid Amos, wakati Makamu alipofanya ziara ya kutembelea
katika maonyesho ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Kijitonyama
leo kujionea maendeleo ya tume hiyo inayozalisha vijana wabunifu wa
masuala ya kisayansi. Kushoto kwa Makamu wa Rais ni, Waziri wa Sayansi
na Teknolojia, Makame Mbarawa. Katikati (kushoto) ni Viana Mulokozi na
Gillsant Mlaseko.
Viajana,
Nassor Nyihirani (kushoto) na Raphael Martin wa kampuni ya Comasi,
wakimuonyesha Makamu wa Rais jinsi ya kutunza kumbukumbu za mauzo
kupitia njia ya mtandao walioyoibuni hivi karibuni, wakati Makamu
alipokuwa akitembelea katika maonyesho ya Tume ya Sayansi na Teknolojia
leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho ya
Kisayansi yaliyoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia, leo.
Makamu wa Rais, akionyeshwa Gari la Maabara inayotembea, wakati alipokuwa akitembelea katika maonyesho hayo leo.
No comments:
Post a Comment