Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 14, 2013

TTCL ILIVYOSHIRIKI MAONESHO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Steven Masele akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
 Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zipatikanazo katika simu za kiganjani za TTCL "SMART PHONE" pamoja na punguzo kubwa la bei ya Intarnet kwa simu zenye waya na zisizotumia waya "wireless".
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Sikitu Mwanakatwe kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
 Mbubge wa Kilindi Mhe. Beatrice Shelukindo akifurahi na wafanyakazi wa TTCL baada ya kupata maelezo kutoka kwa washiriki wa maonesho hayo.
 Waheshimiwa wabunge wakipata maelezo kuhusu Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Baadhi ya wabunge wakipata maelezo kuhusu Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.
Wateja wakipata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na TTCL.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...