Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 24, 2013

Mbunge wa Iramba Magharibi-Ccm, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa iringa Mjini -Chadema Mchungaji Peter Msigwa Nusura Wazichape


Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizozana na wabunge wa Chadema, Mbunge wa iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa(kulia)mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (wa pili kulia) na Mbunge wa Musoma Mjini, Vicent Nyerere  (wa pili kushoto) baada ya kukutana nje ya ukumbi wa mikutano wa St Gasper,Dodoma jana wakati wa semina ya wabunge ya kuhusu Ukimwi. Picha na Fidelis Felix

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...