Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, June 14, 2013

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA IKULU


IMG_2109Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba. IMG_2115Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi, ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.
IMG_2145Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi,ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...