Mkurugenzi
Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii (NSSF),Ramadhani Dau
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Shirika hilo
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wakati wa
uzinduzi wa bodi mpya Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF),Abubakar Rajabu akitoa neno la shukrani baada ya Waziri wa
Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kushoto) alipozindua bodi hiyo. Kulia
ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Ramadhani Dau.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu Shirika la Taifa Hifadhi ya Jamii ya Jamii
(NSSF), Ramadhani Dau mara baada kuzindua bodi mpya ya Shirika hilo.
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo
na Mwenyekiti wa bodi ya NSSF, Abubakar Rajabu na Mkurugenzi wa
Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori.
No comments:
Post a Comment