Na MWANDISHI WETU
BONDIA Shabani Mhamila 'Star Boy' ameingia kambini kujiandaa
SHABANI MHAMILA 'STAR BOY' |
kumkabili Yusuf Jibaba katika pambano la utangulizi wakati wa
mchezo wa kati ya Francis Cheka na Thomas Mashali.
Pambono la raundi nne linatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa PTA
Sabasaba, Dar es Salaam Mei Mosi mwaka huu, linatarajiwa kuwa la vuta
nikuvute kutokana na kila mmoja kujigamba kujiandaa vema.
Kocha wa Star Boy, Habibu Kinyogoli 'Masta' akisaidiwa na Rajabu Mhamila 'Super D' wamesema kuwa
bondia wao ameingia kambini juzi kujiandaa kumchakaza Jibaba ili
kuendelea kujiwekea sifa nzuri.
"Bondia wangu yuko katika maandalizi ya kutosha kuhakikisha anafanya
vizuri katika pambano hilo la utangulizi kati ya Cheka na Mashali" alisema
Super D na kuongeza Star Boy
alishawai kuwa bingwa wa masumbwi mwaka 1998 ambapo alisimama kwa
kipindi kidogo kutokana na maisha ya nchini rakini kwa sasa ameamua
kurudi katika ulingo wa masumbwi ili aweze kutoa changamoto za mchezo
uho kutokana na mabondia wengi awajui sheria na kanunu za mchezo huo Sta
Boy mwenye rekodi ya .won 14 (KO 5)
+
lost 7 (KO 4)
+
drawn 2
=
23 ambaye mkanda wa kwanza wa taifa alichukua kwa kumtwanga Theodor Luanda
Frebruary 2,1996 na kutetea vema
10 Februar1997 kwa kumtwanga bondia Chaurembo Palasa
Frebruary 2,1996 na kutetea vema
10 Februar1997 kwa kumtwanga bondia Chaurembo Palasa
Super D.
Kocha huyo wa kimataifa wa mchezo wa ngumi nchini, alisema kuwa
katika mchezo huo kutakuwa na CD na DVD za mafunzo wa mchezo
huo zenye mapambano makubwa ya mabondia wa ndani na nje ya nchi.
Aliongeza kuwa baadhi ya mapambano yaliyomo ni katika CD na DVD
hizo ni ya Kalama Nyilawila dhidi ya Francis Cheka, Mbwana Matumla na
Francis Miyeyusho, Said Mundi na King Class Mawe. na Francis
Cheka dhidi ya Japhet Kaseba mapambano yote mawili mbali na hivyo
atakuwa akisambaza vifaa vya mchezo wa masumbwi kwa mabondia ambao awana
wanaweza kumuona na kujipatia vifaa mbalimbali
No comments:
Post a Comment