Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

DYNA, H.BABA, KITALE NA MASELE WAPAGAWISHA MWANZA UZINDUZI WA ALBAM YA KALA JEREMAYA

Kala Jeremaya kama kawaida yake kutikisa jukwaa ...full mizuka ikiwapanda mashabiki wake leo hii wakati anazindua Album yake ya PASAKA yenye nyimbo kibao 23 ambayo pia amedai kuwa kuifanisha album hiyo ilimchukua muda wake mwingi wa kukaa studio na pia ikiwa ni album moja wapo ya kumjenga kimuziki hapa nchini na nje

Msanii wa kizazi kipya almaarufu kama Dyna akiimba leo Ijumaa hii usiku kwenye Uzinduzi wa Album ya Kala Jeremaya kwenye ukumbi wa raha Jijini Mwanza Villa Park Resort.
Msanii wa kizazi kipya Dyna akiimba nyimbo yake ya Nivute kwako

Djz wakifanya mambo yao jukwaani

Msanii wa kizazi kipya Dyna akiimba huku mashabiki wakipagawa na nyimbo zake 

Shabiki ilibidi apande jukwaani kumsindikiza Dyna

Ilikuwa patashika Villa Park usiku huu Masele amewashika vilivyo mashabiki wake.

Msanii H.Baba akiwa ameshilia album mpya ya Kala Jeremaya usiku huu ambayo imezindulia leo hii rasmi ikiwa na nyimbo

Kala Jeremaya kama kawaida yake kutikisa jukwaa ...full mizuka ikiwapanda mashabiki wake leo hii wakati anazindua Album yake ya PASAKA yenye nyimbo kibao 23 ambayo pia amedai kuwa kuifanisha album hiyo ilimchukua muda wake mwingi wa kukaa studio na pia ikiwa ni album moja wapo ya kumjenga kimuziki hapa nchini na nje

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...