Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji
wa mgodi wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimish Siku
ya Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri
Abeid jijini Arisha, Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoaji katika banda la
maonesho ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye uwanja
wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. (Picha na Ofisi
yaWaziri Mkuu)
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo
ya Utoaji huduma bora ya Afya na Usalama kazini
kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa kutoka kw Waziri wa Kazi na
Ajira, Gaundentia Kabaka katika Kilele cha
Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani
kwenye uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha Aprili
28, 20113.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment