![]() |
| Mgambo wa Manispaa ya Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi kijana Masha Yusuph kwa kuchafua mji |
![]() |
| Hapa wakimtaka kijana huyo kuokota takataka alivyokuwa akizitupa ovyo baada ya kubandika matangazo ya Voda |
![]() |
| Hapa akipelekwa ofisi za Mwanasheria kupigwa faini ya shilingi 50,000 kwa uchafuzi wa mazingira |
![]() |
| Hapa akiingizwa katika ofisi za Mwanasheria |





No comments:
Post a Comment