Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, April 27, 2013

Rais Kikwete aongoza harambee ya maendeleo jimbo la Ukonga.Achangia 110m/


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiongoza harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo jimbo la Ukonga jana jioni ambapo jumla ya Shilingi 462m/ zilipatikana ikiwa ni ahadi na fedha taslimu. Rais Kikwete alichangia jumla ya shilingi 110m/-Wakati wa harambee hiyo iliyofanyika  katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana jioni.Kulia ni mbunge wa ukonga Eugen  Mwaiposa na wapili kushoto ni mwenyekiti wa ukonga SACCOS  Advera Ruge (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...