Mbunifu wa Mavazi Khadija
Mwanamboka (kushoto) ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party
iliyobeba Theme ” Celebrating Tanzania Music” wakati wa uzinduzi wa
Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau
mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo
wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii
Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja
na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava Linex na Mwasiti. Pichani
Bi. Khadija Mwanamboka akiwa na wageni mbalimbali kwenye Red Carpet
ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Designer Ally Rehmtullah ndani ya nyumba.
Blogger Missi Popular aliwakilisha kikazi zaidi.
Gyver Meena and Salma Msangi a.k.a Kimora Lee looking Gorgeous (I think these two Girls rock the night).
Mama Mia….Wow…..!
Ziada Abeid na Salma Msangi a.k.a Kimora Lee.
Dj Peter More akishow love na Bi. Khadija Mwanamboka.
Jackie Cliff.
Ally Remtullah na Mrs. Raqey.
Mr & Mrs. Raqey…..Looking Gorgeous…..
Mrs. Raqey.
Khadija Mwanamboka Showing some love with Mr & Mrs. Raqey.
No comments:
Post a Comment