Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 23, 2013

EDWARD LOWASSA AFUNGUA TAMASHA LA MADEREVA WA BODABODA JIJINI DAR


 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwapungia mkono kuwaaga madereva wa  bodaboda  baada ya kumaliza kufungua tamasha lao lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders club Kinondoni, jijini Dar es Salaam leo. 
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, akipokea maandamano ya madereva wa Bodaboda kwenye Viwanja w=vya Leaders Club leo.
 Madereva wa Bodaboda, wakimbeba msanii wa muziki wa kizazi kipya Linex wakati akitoa burudani katika Tamasha lao baada ya kuwapagawisha na kibao chake cha 'Bodaboda'.
 Tamasha hilo likiendelea kwa kila aina ya ujumbe...
 Madereva Bodaboda wakilifuta vumbi gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam leo.

Madereva Bodaboda wakilisukuma gari lililokuwa limembeba Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kumaliza kuwafungulia tamasha lao
kwenye Viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam jana. Na Mpigapicha
Wetu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...