Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto) akiwakabidhi
Simba jezi kwa ajili ya mtanange wa Mtani na Jembe dhidi ya Yanga.

Kavishe (kulia) akiwakabidhi jezi viongozi wa Yanga
Kavishe akiwakabidhi jezi viongozi wa Yanga na Simba katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment