Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 10, 2013

WANAHABARI WA ZIARA YA KOMREDI KINANA WAREJEA KWA FURAHA DAR KWA TRENI KUTOKA MAKAMBAKO


 Mmiliki wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda akipungia mkono kwa furaha wakati na wanahabari wenzie waliokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana  katika ziara ya mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Njombe wakiondoka kwa treni la Tazara Makambako kwenda Dar es Salaam jana. Wamwasili leo asubuhi.
 Ni furaha iliyoje kwa wanahabari walipokuwa wakiondoka na msafara wa Komredi Kiwana kwa treni ya Tazara Stesheni ya Makambako, Mkoani Njombe kurejea Dar
 Wanahabari wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiondoka kwa treni ya Tazara,Makambao kurejea Dar baada ya ziara ndefu ya Kmredi Kinana katika mikowa minne. ambapo wametumia siku 26 na Kinana kuhutubia mikutano zaidi ya 100.
Mmiliki wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na Afisa wa CCM Makao Makuu, ambaye pia ni mmiliki wa Blogu ya The Nkoromo  wakiwa ndani ya chumba cha Treni ya Tazara wakisafiri kutoka Makambako kwenda Dar.
Wanahabari waliokuwa kwenye msafara wa Komredi Kinana wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Stesheni ya Tazara, Dar es Salaam leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...