Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu (kulia),
akiteta jambo na Mwakilishi wa Bongo Movie, Devota Mbaga, wakati wa
semina hiyo.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu,
akichangia mada ya ‘Ukimwi na Vijana’, mara baada ya kuifungua semina ya
wasanii katika kuadhimisha Siku ya Ukimwi duniani, iliyoandaliwa na
Taasisi ya Benjamin William Mkapa HIV/AIDS Foundation kwa uratibu wa
Kampuni ya Motage, Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Ofisa Mtendaji
Mkuu wa taasisi hiyo, Dk. Ellen Mkondya, Mwakilishi wa Bongo Movie,
Devota Mbaga (kulia) na msanii wa maigizo, Aisha Amani ‘Walonge’.



No comments:
Post a Comment