Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 18, 2014

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA APRIL 19 PTA SABASABA JUMAMOSI

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO ALIESIMAMA AKISHUDIA MPINZANI WAKE AKIPIMA AFYA
PROMOTA WA MPAMBANO MUSSA KOVA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MPAMBANO HUO
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIZUNGUMZA
CHICHI MAWE AKIPIMA UZITO
MIYEYUSHO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...