Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 4, 2014

STEPS SOLAR NA TAREA KUFUNGA SOLA KATIKA ZAHANATI,SHULE NA VITUO VYA WATOTO YATIMA

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar  Moses Mwanyilu 'kulia' akimkabidhi Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA'  Mathew Matimbwi moja ya bidhaa ya kampuni hiyo inayotumika majumbani wakati wa udhinduzi wa kutoa na kufunga bule baadhi ya  vifaa vyake kwenye vituo vya umma pamoja na baadhi ya taasisi za serikali kama vile  shule,zahanati pamoja na vituo vya watoto yatima walivyovichagua kwa awamu ya kwanza kwa kushilikiana na TAREA picha na mpigapicha wetu

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Steps Solar  Moses Mwanyilu 'kulia' akizungumza na waandishi wa habari awapo pichani jinsi watakavyotoa huduma yao ya kuunganisha solar katika baadhi ya vituo vya watoto yatima,shule pamoja na taasisi za serikali katikati ni Katibu mtendaji wa Tanzania Renewable Energy Association 'TAREA'  Mathew Matimbwi na Meneja mipango wa TAREA, Emma Laswai kwa kushirikiana na TAREA  Picha na Mpigapicha wetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...